VOA Swahili – Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika

Company Information

V

VOA Swahili – Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika

1 contacts available

Sign in to add to cart and unlock contacts.

Description

Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. #voaswahili Voice of America - Swahili 330 Independence Ave., SW Washington, D.C. 20237 Email: voaswahili@voanews.com

Industry

instagram, podcast, youtube